Dozi za nyongeza za COVID-19 (Booster doses)

Dozi za nyongeza za COVID-19 (Booster doses)
Viwango vya nyongeza vya chanjo ya COVID-19 sasa vinapatikana kwa mtu yeyote mwenye umri wa miaka 18 na zaidi.

Inapendekezwa kwamba upate dozi ya nyongeza angalau miezi sita baada ya dozi yako ya pili ya chanjo ya COVID-19.

Dozi za nyongeza zitaendelea kukulinda wewe, familia yako, na jumuiya yako dhidi ya COVID-19.

Chanjo za COVID-19 ni bure kwa kila mtu nchini Australia. Hii ni pamoja na dozi za nyongeza.

Kwa habari zaidi na kuweka nafasi ya chanjo yako, tembelea www.australia.gov.au au piga simu 1800 020 080.

Kwa huduma za ukalimani, piga 131 450.

Imeidhinishwa na Serikali ya Australia, Canberra.

 


 

COVID-19 vaccine booster doses are now available for anyone 18 years of age and older.

It is recommended that you get a booster dose at least six months after your second dose of the COVID-19 vaccine.

Booster doses will continue to protect you, your family, and your community against COVID-19.

COVID-19 vaccines are free to everyone in Australia. This includes booster doses.

For more information and to book your vaccination, visit www.australia.gov.au or call 1800 020 080.

For interpreting services, call 131 450.

Authorised by the Australian Government, Canberra.

Translate »