Mkutano wa Afya ya Jamii utafanyika katika Jumba la St Paul la Afrika kwa kikundi kinachozungumza Kongo – Kiswahili mnamo Jumatano tarehe 14 Julai 2021. Daktari Helen Roberts wa Kituo cha Chanjo cha McIntosh atakuwepo kujibu maswali ya kitabibu. Waalimu wa Afya ya Jamii watahudhuria kutoa msaada. Huduma ya watoto inapatikana kwa wale wanaohitaji. Kuanzia 4:30 – 6pm